Genesis 41:43

43Akampandisha katika gari lake la farasi kama msaidizi wake, watu wakatangulia wakishangilia, wakisema, “Fungueni njia!” Ndivyo Farao alivyomweka Yusufu kuwa msimamizi wa nchi yote ya Misri.

Copyright information for SwhKC